Vijana Barubaru
Read Ni Sawa Lyrics By Vijana Barubaru below:
Read Ni Sawa Lyrics By Vijana Barubaru below:
Kosa si kosa makosa ni kurudia
Pole sana kama umevumilia
Tulikosana nikaomba ungenirudia
Ukanikana hadharani
Mbele ya dunia
Bet ilichomeka zimamoto hawakusaidia
Ndege ya aviator
Ikianguka hawakuniambia
Signs niliona ona
Na sikufuatilia
Jirani alikuteka mali yangu akanikulia
Ni sawa umeniacha nimeachika
Ni sawa ningenyamaza yote tisa
But for real for real
Is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa
Uko sure huyo ndo mwenye unataka eh
Uko sure ni sawa
Uko sure unaeza sema with your taste eh uko sure
But for real for real
Is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa
Ni sawa ni sawa
Naomba on your wedding day
Stima zipotee
Upate fat fingers ring isitoshee
Your boyfriend akubuyie kadoggy.
Ukidhani ni kacutie kakuume
Mother in law na father in law
Wakuchukie wakikuona
Unadhani ye ni catch kumbe ni sperm donor
My lord i wonder but as long as you’re happy wena
We penda chenye unapenda hii imeenda
Ni sawa umeniacha nimeachika
Ni sawa ningenyamaza yote tisa
But for real for real
Is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa
Uko sure huyo ndo mwenye unataka eh
Uko sure ni sawa
Uko sure unaeza sema with your taste eh uko sure
But for real for real
Is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa
Ni sawa ni sawa
Ni sawa ni sawa
Ni sawa ni sawa
Ni sawa
© 2024 Invastor. All Rights Reserved
User Comments